Friday, October 20, 2017

MUZIKI WA ALIKIBA UMEJAWA NA VITA KUBWA SANA



Image may contain: 4 people, people smiling, people standing
MUZIKI WA ALIKIBA
Umejawa na vita kubwa sana 
Toka mwaka juzi alikiba alipotaka kufanya collabo na msanii Wa marekani ne-yo alipokonywa collabo na msanii toka tz diamond platinum ndipo msanii kiba akaipiga chini ile collabo tukumbuke kiba alikutana na neyo KWENYE coke studio
Upinzani na chuki za wasanii wenzake zilizidi kuendelea mwaka 2014 msanii diamond alisikika tena akisema kuwa yeye NDIO anaeruhusu nyimbo za kiba zipigwe MTV base tunakuja mbele kidogo ambapo ngoma ya lupela ambayo ilikuwa ni neema kubwa katika muziki Wa kiba na mashabiki zake ambapo rasmi vituo vya Africa vilianza kupga ngoma ya lupela na NDIO ngoma iliyozidi kufungua milango ya msanii kiba
Aje ni ngoma ambayo ilimpa alikiba mafanikio makubwa katika muziki wake na tuzo zaidi ya kumi na nane ikiwemo MTV EMA NDIO ngoma iliyomwngizia mkwanja mkubwa sana
Ntaendeleaa...

No comments:

Post a Comment