Monday, October 23, 2017

Angalia Lulu alivyotua Mahakamani na rasta za aina yake (Video)

Kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili muigizaji, Elizabeth Michael (Lulu) imeendelea Mahakama Kuu ya Tanzania, ambapo leo mrembo huyo amekuja na rasta za aina yake ni ndefu ambazo urefu wake unafika kiunoni mwake. Mtazame Lulu akiwa na urasta huo.

No comments:

Post a Comment