Monday, October 23, 2017

Rais Magufuli awataka Watanzania kuwapuuza wanaobeza jitihada za serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewashukuru Watanzania wote kwa muunga mkono jitihada za kupigania rasilimali za nchi na kuwataka 
wawapuuze wanaobeza jitihada hizo.
Soma taarifa kamili:

JIUNGE NA nyanya_kavu.COM SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka NYANYA_KAVU!

No comments:

Post a Comment